[Download] "Kionjo cha Wivu" by James Kemoli Amata ~ eBook PDF Kindle ePub Free
eBook details
- Title: Kionjo cha Wivu
- Author : James Kemoli Amata
- Release Date : January 17, 2015
- Genre: Religion & Spirituality,Books,
- Pages : * pages
- Size : 71 KB
Description
KIONJO CHA WIVU ni diwani ya mashairi ya pindu. Mifano ya mikondo mbalimbali imetolewa kwa lengo la kumchochea mtafiti na mbunifu kueleza mikondo mingine ambayo katika hali ya kawaida itamtegemea mtunzi wa mashairi.
Katika maisha ya watu kuna kupata na kukosa. Ukikosa, omba. Ukiomba, subiri.
Kila mtu ana kile alichonacho. Wivu ni mbaya. Tusiwe watu wenye wivu ili tuishi kwa amani.
James Kemoli Amata ni mwalimu mstaafu wa shule ya sekondari. Alifunza na kuwatayarisha watahiniwa wa (Christian Religious Education na) Kiswahili kwa miaka mingi. Kwa mujibu wa taaluma yake, ametunga vitabu kadha vya mashairi kikiwemo UANDISHI WA INSHA NA TUNGO NZURI, TAALUMA YA USHAIRI (akishirikiana na Kitula King’ei,), MASHAIRI RAHISI, KIONJO CHA UCHOKOZI, KIONJO CHA UNAFIKI, ….